Abdeslam Akouzar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abdeslam Akouzar (alizaliwa Agadir, Morocco, 15 Aprili 1982) ni Mmorocco mchezaji wa soka kiungo wa kati.

Alijiunga na Troyes kutoka FC Gueugnon tarehe 20 Julai 2009.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdeslam Akouzar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.