Abdallah Nzunda (Mkojani)
Mandhari
Abdallah Nzunda maarufu kwa jina la Mkojani ni msanii na mwigizaji na vichekesho nchini Tanzania[1]
Historia
[hariri | hariri chanzo]Mkojani alianza rasmi sanaa za maigizo mnamo mwaka 2005 ambapo mapaka sasa anaogoza vijana wengine kwenye tasnia ya uigizaji zaidi ya vijana 15[2][3]
Baadhi ya Filamu alizoshiriki
[hariri | hariri chanzo]Tuzo
[hariri | hariri chanzo]mwaka | waandaaji wa Tuzo | Tuzo/Kipengele | Jina la Filamu | Matokeo |
---|---|---|---|---|
2022 | Bodi ya Filamu Tanzania | Mchekeshaji Bora | Ugaigai | Ameshinda[6][7] |
2023 | Bodi ya Filamu Tanzania | Filamu Bora ya uchekeshaji | Ameshinda[8] |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://millardayo.com/exclusivempaka-nyumbani-kwa-mkojani-nilienda-kwa-waganganimejulikana-mwaka-jana/
- ↑ https://www.mwanaspoti.co.tz/ms/burudani/mkojani-1-kuchekesha-barabarani-kulivyomtibulia-mambo-3296562
- ↑ https://millardayo.com/exclusivempaka-nyumbani-kwa-mkojani-nilienda-kwa-waganganimejulikana-mwaka-jana/
- ↑ https://www.mwananchi.co.tz/mw/burudani/joti-mkojani-kuchuana-mkali-wa-vichekesho-tuzo-za-filamu-4049824
- ↑ https://www.dstv.com/maishamagicplus/en-tz/news/november-movie-release-dates-mmmovies
- ↑ https://www.mwananchi.co.tz/mw/burudani/joti-mkojani-kuchuana-mkali-wa-vichekesho-tuzo-za-filamu-4049824
- ↑ https://www.mwanaspoti.co.tz/ms/burudani/mzee-kikala-wa-kombolela-mkojani-jb-watakata-tuzo-za-filamu-2022-4059472
- ↑ https://globalpublishers.co.tz/mkojani-ataja-siri-ya-filamu-zake-kupendwa-kwenye-mabasi-ya-mikoani/
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abdallah Nzunda (Mkojani) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |