Nenda kwa yaliyomo

A-Q

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gilbert Bani mwaka 2022

Gilbert Bani (akijulikana kwa jina lake la kisanii A-Q; alizaliwa 1 Agosti 1986) ni rapa na mtunzi wa nyimbo kutoka Nigeria.[1][2] [3][4][5]

Maisha ya Awali

[hariri | hariri chanzo]

A-Q ni mtoto wa mwisho kuzaliwa katika familia ya watoto sita, ambaye jina lake halisi ni Gilbert Bani, alikulia huko Surulere ambako ameishi kwa muda mwingi wa maisha yake.[6]

A-Q alihudhuria katika chuo cha Kings College Lagos, na alipata elimu yake ya juu katika Chuo Kikuu cha Lagos. Bani akiwa na umri mdogo, alianza kukusanya nyimbo za hip-hop, kujifunza mashairi na kuigiza.[7]

  1. Solanke, Abiola. "Rapper AQ"s new album "Blessed Forever" is out to touch a life". Pulse.ng. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-05-13. Iliwekwa mnamo 22 Mei 2018.
  2. Archived 2017-08-09 at the Wayback Machine
  3. "TheNET.ng - Nigeria's Top Website for News, Gossip, Comedy, Videos, Blogs, Events, Weddings, Nollywood, Celebs, Scoop and Games". Nigerian Entertainment Today. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-29. Iliwekwa mnamo 22 Mei 2018.
  4. "Headies-nominated rapper, A-Q, drops 'MMM'". Lifestyle.thecable.ng. 13 Desemba 2016. Iliwekwa mnamo 22 Mei 2018.
  5. "The debut of Nigerian controversial Rap Artiste; A-Q". Trendy Africa. 19 Novemba 2010. Iliwekwa mnamo 22 Mei 2018.
  6. "A-Q Profile and Discography | African Music Library". africanmusiclibrary.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-11-04. Iliwekwa mnamo 2023-11-04.
  7. "9jaolofofo Meets Rapper 'A-Q' (Exclusive Interview)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-07-14.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu A-Q kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.