Łomża
Łomża ni mji uliopo mjini kaskazini-mashariki mwa nchi ya Poland, takriban maili 90 (150 km) kutoka mjini Warsaw na maili 50 (81 km) kutoka Białystok. Upo ng'ambo ya mto Narew ulikuwa katika Podlaskie Voivodeship tangu 1999; awali, ulikuwa mji mkuu wa Lomza Voivodeship (1975-1998). Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Łomża na makao makuu ya Dayosisi ya Romani Katoliki ya Łomża tangu 1925. Łomża ndiyo inaongoza kwa uchumi, elimu na kituo cha utamaduni katika kaskazini-mashariki mwa Masovia na ni moja kati ya miji mikuu ya Podlaskie Voivodeship (badala ya Białystok na Suwałki). Inatoa jina lake kwa maeneo yaliyolindwa yaitwayo Łomża Landscape Park.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Łomża ilikuwa njia kuu ya majeshi Kirusi yaliyosalimu amri kwa kufuatia kushindwa wakati wa Mapigano ya Warsaw mnamo mwaka wa 1920 katika Vita ya Kipoland-Kisovyeti.[1]
Mnamo mwezi wa Septemba 1939, Łomża ilikuwa katika sehemu ya USSR. Mnamo mwezi wa Juni 1941, ilichukuliwa na Ujerumani kwenye saa ya kuzuka kwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Mwishoni mwa 1944, USSR wakauchukua tena mji na kuurejesha kwa Poland ya leo.
Demografia
[hariri | hariri chanzo]Data ya mwaka wa 2007[2]:
Description | Jumla | Wanawake | Wanaume | |||
---|---|---|---|---|---|---|
idadi | watu | % | watu | % | watu | % |
wakazi | 63,036 | 100 | 32,652 | 51.8 | 30,384 | 48.2 |
eneo | 32.67 km² | |||||
msomano wa wakazi (watu/km²) |
1,929.5 | 999.4 | 930.0 |
Łomża ina wakazi 63,036 ina inachukua sehemu ya tatu katika Podlaskie Voivodeship. Mwishoni mwa mwaka wa 2006 ongezeko la watu lilikuwa kubwa na kufikia kiasi cha 1,3 kwa wakazi 1000 ambamo sehemu zingine ufuatiliaji wa uhamiaji ulikuwa si mzuri (-520)[2]. Idadi ya watu wasio na kazi mwishoni mwa mwezi Mei 2008 ilifikia 10,2%[3]. Kwa mujibu wa data za mwaka wa 2006 [2] wastani wa kipato kwa mkazi kilifikia 2,942.31 zł.
Mahusiano ya kimataifa
[hariri | hariri chanzo]Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Warsaw 1920, Adam Zamoyski ISBN 978-0-00-722552-1
- ↑ 2.0 2.1 2.2 Central Statistical Office, Poland - data of 2007 year {{{2}}}
- ↑ County Labour Bureau in Łomża: Statistics of the local job market {{{2}}}
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- The city
- Official website of Łomża City
- Official website of Łomża City for mobile devices Ilihifadhiwa 4 Mei 2019 kwenye Wayback Machine.
- Łomża City in old documents Ilihifadhiwa 11 Desemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Historical Łomża Ilihifadhiwa 25 Juni 2008 kwenye Wayback Machine.
- Łomża City in "Geographical Dictionary of Polish Kingdom and other Slavic countries, Vth volume" p. 699-704
- Monuments
Makala hii kuhusu maeneo ya Poland bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Łomża kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |