Zinedine Zidane : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1: Mstari 1:
'''Zinedine Yazid Zidane''' (maarufu kama "Zizou"; alizaliwa [[tarehe]] [[23 Juni]] [[1972]]) alikuwa [[mchezaji]] wa [[mpira wa miguu]] kutoka [[Ufaransa]] na [[klabu]] ya [[Real Madrid]] aliyecheza kama [[kiungo mshambuliaji]]. Kwa sasa ni [[kocha]] wa Real Madrid.
'''Zinedine Yazid Zidane''' ([http://www.peoplesbiography.in/2018/05/wisconsin-child-tax-rebate-child-tax-rebate-2018.html maarufu kama "Zizou"; alizaliwa tarehe 23 Juni 1972) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa na klabu ya Real Madrid aliyecheza kama kiungo mshambuliaji. Kwa sasa ni kocha wa Real Madrid.]

Alicheza kama [[kiungo mshambuliaji]] kwenye [[timu ya taifa]] ya Ufaransa na Cannes, Bordeaux, Juventus and Real Madrid. Anajua kuchezesha, ana maamuzi ya haraka, kuumiliki mpira, mbinu.
[http://www.peoplesbiography.in/2018/05/wisconsin-child-tax-rebate-child-tax-rebate-2018.html Alicheza kama kiungo mshambuliaji kwenye timu ya taifa ya Ufaransa na Cannes, Bordeaux, Juventus and Real Madrid. Anajua kuchezesha, ana maamuzi ya haraka, kuumiliki mpira, mbinu.]

Zidane anajulikana kama mchezaji bora kutoka Ulaya kwa miaka 50 iliyopita kwenye UEFA Golden Jubilee Poll mwaka 2004. Anatambulika kama mchezaji bora kuwahi kutokea.
[http://www.peoplesbiography.in/2018/05/wisconsin-child-tax-rebate-child-tax-rebate-2018.html Zidane anajulikana kama mchezaji bora kutoka Ulaya kwa miaka 50 iliyopita kwenye UEFA Golden Jubilee Poll mwaka 2004. Anatambulika kama mchezaji bora kuwahi kutokea.]

Kwenye ngazi ya klabu, Zidane alishinda taji la La Liga na UEFA Champions League akiwa na Real Madrid,mataji mawili ya Serie A akiwa na Juventus na kombe la mabara na UEFA Super Cup na mataji yote akishinda kwa timu zote zilizotajwa.Uhamisho wake wa 2001 kutoka Juventus kwenda Real Madrid uliweka rekodi ya dunia ya £77.5 milioni.
[http://www.peoplesbiography.in/2018/05/wisconsin-child-tax-rebate-child-tax-rebate-2018.html Kwenye ngazi ya klabu, Zidane alishinda taji la La Liga na UEFA Champions League akiwa na Real Madrid,mataji mawili ya Serie A akiwa na Juventus na kombe la mabara na UEFA Super Cup na mataji yote akishinda kwa timu zote zilizotajwa.Uhamisho wake wa 2001 kutoka Juventus kwenda Real Madrid uliweka rekodi ya dunia ya £77.5 milioni.]

Mguu wake wa kushoto ulimpa ushindi wa UEFA Champions League mwaka 2002 na goli lake kuwa zuri kutokea kwenye mashindano hayo.
[http://www.peoplesbiography.in/2018/05/wisconsin-child-tax-rebate-child-tax-rebate-2018.html Mguu wake wa kushoto ulimpa ushindi wa UEFA Champions League mwaka 2002 na goli lake kuwa zuri kutokea kwenye mashindano hayo.]

Kwenye ngazi ya kimataifa na Ufaransa, Zidane alibeba kombe la dunia mwaka 1998, akishinda magoli mawili na kuwa shujaa wa timu, na kwenye UEFA Euro akipewa jina la mchezaji bora wa mashindano. Kombe la dunia lilimfanya kuwa shujaa wa Ufaransa,na alipewa tuzo ya mchezaji bora wa Ufaransa (Légion d'honneur) mwaka 1998.
[http://www.peoplesbiography.in/2018/05/wisconsin-child-tax-rebate-child-tax-rebate-2018.html Kwenye ngazi ya kimataifa na Ufaransa, Zidane alibeba kombe la dunia mwaka 1998, akishinda magoli mawili na kuwa shujaa wa timu, na kwenye UEFA Euro akipewa jina la mchezaji bora wa mashindano. Kombe la dunia lilimfanya kuwa shujaa wa Ufaransa,na alipewa tuzo ya mchezaji bora wa Ufaransa (Légion d'honneur) mwaka 1998.]

Zidane alikuwa mchezaji bora wa FIFA wa dunia wa mwaka mara tatu, 1998, 2000, 2003, alishinda tuzo ya Ballon d'Or. Alikuwa mchezaji bora wa mwaka 1996, mchezaji bora wa mwaka wa Serie A 2001 na mchezaji bora wa kigeni wa La Liga mwaka 2002. Mwaka 2004 alijumuishwa kwenye FIFA 100,majina ya wachezaji bora wanaoishi wanaoonwa na Pelé. Zidane alipewa mpira wa dhahabu kwenye kombe la dunia mwaka 2006 licha ya kutolewa nje kwa kadi nyekundu kwenye fainali dhidi ya Italia kwa kumpiga kichwa Marco Materazzi kifuani. Baada ya fainali alitangaza kustaafu.Baada ya mafanikio kwenye klabu hata kimataifa, Zidane ni mmoja kati ya wachezaji saba walioshinda Kombe la dunia, ballon d`Or na UEFA Champions League.
[http://www.peoplesbiography.in/2018/05/wisconsin-child-tax-rebate-child-tax-rebate-2018.html Zidane alikuwa mchezaji bora wa FIFA wa dunia wa mwaka mara tatu, 1998, 2000, 2003, alishinda tuzo ya Ballon d'Or. Alikuwa mchezaji bora wa mwaka 1996, mchezaji bora wa mwaka wa Serie A 2001 na mchezaji bora wa kigeni wa La Liga mwaka 2002. Mwaka 2004 alijumuishwa kwenye FIFA 100,majina ya wachezaji bora wanaoishi wanaoonwa na Pelé. Zidane alipewa mpira wa dhahabu kwenye kombe la dunia mwaka 2006 licha ya kutolewa nje kwa kadi nyekundu kwenye fainali dhidi ya Italia kwa kumpiga kichwa Marco Materazzi kifuani. Baada ya fainali alitangaza kustaafu.Baada ya mafanikio kwenye klabu hata kimataifa, Zidane ni mmoja kati ya wachezaji saba walioshinda Kombe la dunia, ballon d`Or na UEFA Champions League.]

Baada ya kustaafu alikuwa kocha msaidizi wa Real Madrid chini ya Carlo Ancelotti msimu wa 2013-14. Baada ya kushinda UEFA Champions League na Copa del Rey, Zidane alikuwa kocha wa Real Madrid B.
[http://www.peoplesbiography.in/2018/05/wisconsin-child-tax-rebate-child-tax-rebate-2018.html Baada ya kustaafu alikuwa kocha msaidizi wa Real Madrid chini ya Carlo Ancelotti msimu wa 2013-14. Baada ya kushinda UEFA Champions League na Copa del Rey, Zidane alikuwa kocha wa Real Madrid B.]

Zidane alimuoa [[Véronique Fernández]] mwaka 1994. Wana watoto wanne: [[Enzo Alan Zidane Fernández]] (alizaliwa tarehe 24 Machi 1995), [[Luca Zinedine Zidane Fernández]] (alizaliwa 13 Mei 1998), [[Theo Zidane Fernández]] (aliyezaliwa 24 Mei 2002), na [[Elyaz Zidane Fernández]] (aliyezaliwa 28 Desemba 2005). Enzo anachezea timu ya [[Deportivo Alavés]], Luca anachezea timu ya Real Madrid, na Elyaz yuko [[Real Madrid Academy]].
[http://www.peoplesbiography.in/2018/05/wisconsin-child-tax-rebate-child-tax-rebate-2018.html Zidane alimuoa Véronique Fernández mwaka 1994. Wana watoto wanne: Enzo Alan Zidane Fernández (alizaliwa tarehe 24 Machi 1995), Luca Zinedine Zidane Fernández (]alizaliwa 13 Mei 1998), [[Theo Zidane Fernández]] (aliyezaliwa 24 Mei 2002), na [[Elyaz Zidane Fernández]] (aliyezaliwa 28 Desemba 2005). Enzo anachezea timu ya [[Deportivo Alavés]], Luca anachezea timu ya Real Madrid, na Elyaz yuko [[Real Madrid Academy]].

== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==

Pitio la 11:38, 2 Juni 2018

Zinedine Yazid Zidane (maarufu kama "Zizou"; alizaliwa tarehe 23 Juni 1972) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa na klabu ya Real Madrid aliyecheza kama kiungo mshambuliaji. Kwa sasa ni kocha wa Real Madrid.

Alicheza kama kiungo mshambuliaji kwenye timu ya taifa ya Ufaransa na Cannes, Bordeaux, Juventus and Real Madrid. Anajua kuchezesha, ana maamuzi ya haraka, kuumiliki mpira, mbinu.

Zidane anajulikana kama mchezaji bora kutoka Ulaya kwa miaka 50 iliyopita kwenye UEFA Golden Jubilee Poll mwaka 2004. Anatambulika kama mchezaji bora kuwahi kutokea.

Kwenye ngazi ya klabu, Zidane alishinda taji la La Liga na UEFA Champions League akiwa na Real Madrid,mataji mawili ya Serie A akiwa na Juventus na kombe la mabara na UEFA Super Cup na mataji yote akishinda kwa timu zote zilizotajwa.Uhamisho wake wa 2001 kutoka Juventus kwenda Real Madrid uliweka rekodi ya dunia ya £77.5 milioni.

Mguu wake wa kushoto ulimpa ushindi wa UEFA Champions League mwaka 2002 na goli lake kuwa zuri kutokea kwenye mashindano hayo.

Kwenye ngazi ya kimataifa na Ufaransa, Zidane alibeba kombe la dunia mwaka 1998, akishinda magoli mawili na kuwa shujaa wa timu, na kwenye UEFA Euro akipewa jina la mchezaji bora wa mashindano. Kombe la dunia lilimfanya kuwa shujaa wa Ufaransa,na alipewa tuzo ya mchezaji bora wa Ufaransa (Légion d'honneur) mwaka 1998.

Zidane alikuwa mchezaji bora wa FIFA wa dunia wa mwaka mara tatu, 1998, 2000, 2003, alishinda tuzo ya Ballon d'Or. Alikuwa mchezaji bora wa mwaka 1996, mchezaji bora wa mwaka wa Serie A 2001 na mchezaji bora wa kigeni wa La Liga mwaka 2002. Mwaka 2004 alijumuishwa kwenye FIFA 100,majina ya wachezaji bora wanaoishi wanaoonwa na Pelé. Zidane alipewa mpira wa dhahabu kwenye kombe la dunia mwaka 2006 licha ya kutolewa nje kwa kadi nyekundu kwenye fainali dhidi ya Italia kwa kumpiga kichwa Marco Materazzi kifuani. Baada ya fainali alitangaza kustaafu.Baada ya mafanikio kwenye klabu hata kimataifa, Zidane ni mmoja kati ya wachezaji saba walioshinda Kombe la dunia, ballon d`Or na UEFA Champions League.

Baada ya kustaafu alikuwa kocha msaidizi wa Real Madrid chini ya Carlo Ancelotti msimu wa 2013-14. Baada ya kushinda UEFA Champions League na Copa del Rey, Zidane alikuwa kocha wa Real Madrid B.

Zidane alimuoa Véronique Fernández mwaka 1994. Wana watoto wanne: Enzo Alan Zidane Fernández (alizaliwa tarehe 24 Machi 1995), Luca Zinedine Zidane Fernández (alizaliwa 13 Mei 1998), Theo Zidane Fernández (aliyezaliwa 24 Mei 2002), na Elyaz Zidane Fernández (aliyezaliwa 28 Desemba 2005). Enzo anachezea timu ya Deportivo Alavés, Luca anachezea timu ya Real Madrid, na Elyaz yuko Real Madrid Academy.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zinedine Zidane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.