Zhores Alfyorov

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Zhores Alfyorov

Zhores Ivanovich Alfyorov (amezaliwa 15 Machi, 1930) alikuwa mwanafizikia na mwanasiasa kutoka nchi ya Urusi. Hasa alichunguza kidude cha elektroniki. Mwaka wa 2000, pamoja na Herbert Kroemer na Jack St. Clair Kilby, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zhores Alfyorov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.