Herbert Kroemer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Herbert Kroemer

Herbert Kroemer (amezaliwa 25 Agosti, 1928) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani aliyehamia Marekani baadaye. Hasa alichunguza kidude cha elektroniki. Mwaka wa 2000, pamoja na Zhores Alfyorov na Jack Kilby, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Herbert Kroemer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.