William H. Sekule

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

William H. Sekule (alizaliwa mnamo mwaka 1944) ni hakimu wa Tanzania aliyetumikia Mahakama Kuu ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR) ya jijini Arusha, Tanzania kati ya mwenzi watano mwaka 1995 hadi mwenzi watatu mwaka 2013.

Pia alikuwa raisi wa mahakimu wa (ICTR) Chumba cha Majaribio II kuanzaia mwenzi wa sita 1995 hadi mwenzi wa sita 1999 na kuanzia mwenzi wa sita 2001 hadi mwenzi wa tatu 2013. Ni muhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam kilichopo Afrika mashariki, Ambapo piya alitumikia kwenye bodi ya utengenezaji sheria.[1]

Mnamo Disemba 2011, alichaguliwa na Mkutano mkuu wa umoja wa mataifa kuwa hakimu wa Utaratibu wa Mahakama za Kimataifa za Jinai. Miaka yake mi nne ilianza taree 1 ya mwenzi wa saba 2012. kati ya mwenzi wa tatu 2013 mpaka mweni wa nne 2015 alitumika katika Chumba cha Rufaa cha (ICTR) na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu kwa ajili ya Yugoslavia (ICTY) mstahafu wa The Hague.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Judge William H. Sekule | UNITED NATIONS | International Residual Mechanism for Criminal Tribunals". www.irmct.org. Iliwekwa mnamo 2023-01-26.