Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (kifupisho chake UDSM kutoka Kiingereza "University of Dar es Salaam") ni chuo kikuu cha kwanza nchini Tanzania. Kiko katika jiji la Dar es Salaam. Kilianza kuwa chuo kikuu mwaka wa 1970 baada ya kutengwa kwa Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki katika byuo vikuu vitatu: Chuo Kikuu cha Makerere (Uganda), Chuo Kikuu cha Nairobi (Kenya) na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Watu mashuhuri waliopitia UDSM [hariri]
- Jakaya Kikwete, Rais awamu ya nne wa Tanzania
- Yoweri Museveni, Rais wa Uganda
- Laurent-Désiré Kabila, Rais wa Zamani wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo
- John Garang, Makamu wa Rais wa Zamani waSudan
- Joseph Obgeb Jimmy, Mwanadipromasia wa Namibia
- Asha-Rose Migiro, Naibu Katibu Mkuu wa Zamani wa Umoja wa Mataifa
- Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania
- Herbert James Mntangi, Miongoni mwa wabunge waliowahi wa Bunge la Tanzania
- Gertrude Mongella, Rais wa zamani wa Bunge la Africa
- Augustine P. Mahiga, Balozi katika Umoja wa Mataifa
- Patricia McFadden, Mtunzi mashuhuri wa Swaziland
- Walter Rodney, Mwanasiasa wa nchini Guyana
- Francis K. Butagira, Barozi wa Uganda katika Umoja wa Mataifa
- Juma Ngasongwa, Tanzanian Member of Parliament
- Eriya Kategaya, Naibu wa Kwanza wa Waziri Mkuu wa Uganda
- U. Aswathanarayana, Mkurugenzi wa Mahadevan ICWRM, India
Viungo vya nje [hariri]
- University of Dar es Salaam - Tovuti rasmi ya Chuo Kikuu
| Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
