Wilfried Martens
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilfried Achiel Emma Martens (amezaliwa 19 Aprili, 1936) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Ubelgiji. Alikuwa Waziri Mkuu wa Ubelgiji mara mbili, yaani kuanzia 3 Aprili, 1979 hadi 6 Aprili, 1981, na tena 17 Desemba, 1981 hadi 6 Machi, 1992.
[hariri] Angalia Pia
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wilfried Martens kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
