Wilaya ya Arumeru
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Arumeru (kijani) katika mkoa wa Arusha.
Wilaya ya Arumeru ni wilaya moja ya Mkoa wa Arusha. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Arumeru ilihesabiwa kuwa 516,814 [1].
Tangu 2007 wilaya imegawiwa kuwa wilaya ya Arusha na wilaya ya Meru.
Marejeo [hariri]
| Kata za Wilaya ya Arumeru - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Akheri | Bangata | Bwawani | Ilkiding'a | Kikatiti | Kikwe | Kimnyaki | King'ori | Kiranyi | Kisongo | Leguruki | Maji ya Chai | Makiba | Maroroni | Mateves | Mbuguni | Mlangarini | Moivo | Moshono | Murieti | Musa | Mwandeti | Nduruma | Ngarenanyuki | Nkoanrua | Nkoaranga | Nkoarisambu | Oldonyosambu | Oljoro | Olkokola | Oltroto | Oltrumet | Poli | Singisi | Sokoni II | Songoro | Usa River |
||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Arusha bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Arumeru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |