Wilaya ya Meru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Arumeru (kijani) katika mkoa wa Arusha.

Wilaya ya Meru ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Arusha yenye postikodi namba 23300.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Meru ilihesabiwa kuwa 268,144 [1]. Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 331,603 [2].

Wilaya hiyo ilianzishwa kutoka maeneo ya wilaya ya zamani ya Arumeru iliyogawiwa kuwa wilaya ya Arusha Vijijini na wilaya ya Meru.

Makao makuu ya wilaya yako mjini Usa River.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 2012 Population and housing census, Population Distribution by Administrative Areas (en). National Bureau of Statistics Ministry of Finance Dar es Salaam, Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-05-11.
  2. https://www.nbs.go.tz
Kata za Wilaya ya Meru - Mkoa wa Arusha - Tanzania

Akheri | Ambureni | Imbaseni | Kikatiti | Kikwe | King'ori | Leguruki | Majengo | Maji ya Chai | Makiba | Malula | Maroroni | Maruvango | Mbuguni | Ngabobo | Ngarenanyuki | Nkoanekoli | Nkoanrua | Nkoaranga | Nkoarisambu | Poli | Seela Sing'isi | Shambarai Burka | Songoro | Usariver | Uwiro


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Arusha bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Meru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.