Wilaya ya Nanyumbu
Mandhari
Wilaya ya Nanyumbu ni wilaya moja ya Mkoa wa Mtwara.
Makao makuu ya Wilaya yapo katika Mji wa Mangaka
Ilianzishwa mwaka 2007 kutokana na sehemu za wilaya ya Masasi.
Inapakana na Mkoa wa Lindi upande wa Kaskazini, Mkoa wa Ruvuma upande wa Magharibi, Kwa upande wa Mashariki imepakana na Wilaya ya Masasi na Nchi ya Msumbiji kwa upande wa Kusini. Wilaya ina jumla ya kata 14 na vijiji 89 mpaka sasa. Shughuli za kilimo ndio tegemeo kuu la wananchi wa wilaya hii.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mtwara bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Nanyumbu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |
Kata za Wilaya ya Nanyumbu - Mkoa wa Mtwara - Tanzania | ||
---|---|---|
Chipuputa | Kamundi | Kilimanihewa | Likokona | Lumesule | Mangaka | Maratani | Masuguru | Michiga | Mikangaula | Mkonona | Mnanje | Nandete | Nangomba | Nanyumbu | Napacho | Sengenya |