Vita ya Vietnam
Vita ya Vietnam ilikuwa vita iliyopiganiwa katika nchi ya Vietnam kati ya 1960 na 1975 lakini mapigano yake yaliendelea hadi nchi jirani za Kambodia na Laos. Wakati ule Vietnam iligawiwa kwa madola mawili ya Vietnam Kusini na Vietnam Kaskazini.
Ilikuwa hasa vita ndani ya Vietnam Kusini. Kwa upande moja walisimama serikali ya Vietnam Kusini pamoja na askari za Marekani na nchi mbalimbali zilizoshikamana nao; kwa upande mwingine wanamigambo ya Vietkong pamoja na jeshi la Vietnam Kaskazini iliyosaidiwa na nchi za kikomunisti kwa pesa na silaha.
Mapigano yalitokea hasa ndani ya Vietnam Kusini. Vietnam Kaskazini ilishambuliwa kwa mabomu ya ndege ya Marekani na wanajeshi wake walitumwa kupiga vita katika kusini.
Vita ilikwisha kwa ushindi wa kaskazini mwaka 1975.
Yaliyomo |
Historia ya awali [hariri]
Chanzo cha vita ya wenyewe kwa wenyewe katika Vietnam Kusini [hariri]
Kuundwa kwa Vietkong [hariri]
Kuingia kwa Marekani [hariri]
Mapigano ya Tet [hariri]
Marekani kujiondoa [hariri]
Mwisho [hariri]
| Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |