Ubuddha wa kitibeti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ubuddha wa Kitibeti ni mwili wa nakalafundishi za kibuddha na aina ya utaasisi wa kitibeti, ukanda wa Himalaya (Kujumlisha Tibet, kaskazini ya Nepali, Bhutan, Sikkim na Ladakh), Mongolia, Buryatia, Tuva na Kalmykia (Russia), na kaskazini mashariki ya Uchina (Manchuria: Heilongjiang, Jilin). Hujumuisha mafundisho ya vyombo vitatu (au yanas katika kisanskriti) vya ubuddha: Hinayana, Mahayana, na Vajrayana (vijulikanavyo pia kama Tantrayana).