Heilongjiang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jimbo la Heilongjiang
Mahali pa Heilongjiang katika China

Heilongjiang (黑龙江) ni jimbo ya China katika eneo la Manchuria. Mji mkuu ni Harbin (哈尔滨). Jina la jimbo limetokana na mto Heilongjiang inajulikana zaidi kimataifa kama Amur.

Jimbo lapakana na Urusi. Sehemu za kaskazini na za kusini kabisa za China ziko Heilongjiang.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Heilongjiang kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.