Trondheim
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Trondheim | |||
|
|||
| Mahali pa Trondheim katika Norwei | |||
| Anwani ya kijiografia: 63°25′47″N 10°23′36″E / 63.42972°N 10.39333°E | |||
| Nchi | Norwei | ||
|---|---|---|---|
| Jimbo | Sør-Trøndelag | ||
| Serikali | |||
| - Type | Manispaa | ||
| - Meya | Rita Ottervik (Ap) | ||
| Eneo | |||
| - Mji | 342.26 km² | ||
| - Bara | 324.16 km² | ||
| - Maji | 18.1 km² | ||
| Idadi ya wakazi | |||
| - Mji | 171,652 | ||
Kamisa kuu la Nidaros (Nidarosdomen).
Trondheim (kisami cha kusini Tråante) ni manispaa na mji wa Sør-Trøndelag, jimbo la Norwei. Mji una wakazi 168 988 (april 2009). Trondheim ni mji mkubwa wa tatu nchini Norwei.
Trondheim ni mji mkuu wa jimbo la Sør-Trøndelag. Vyuo vikuu vya NTNU na Høgskolen i Sør-Trøndelag (HiST) viko Trondheim.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Trondheim kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |