Tony Goldwyn

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tony Goldwyn
TonyGoldwyn08.jpg
Goldwyn in Denver in August 2008
Amezaliwa Anthony Howard Goldwyn
20 Mei 1960 (1960-05-20) (umri 52)
Los Angeles, California, U.S.
Kazi yake Mwigizaji/Mwongozaji
Miaka ya kazi 1986–present

Anthony Howard "Tony" Goldwyn (amezliwa tar. 20 Mei, 1960) ni mwigizaji na mwongozaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Amepata umaarufu zaidi kwa kucheza kama adui Carl Bruner kwenye filamu ya Ghost, Colonel Bagley kwenye The Last Samurai, na sauti ya Tarzan kwenye katuni ya Disney Tarzan.

[hariri] Maisha binafsi

Goldwyn alizaliwa mjini Los Angeles, California, akiwa kama mtoto wa Jennifer Howard na mtayarishaji wa filamu Samuel Goldwyn, Jr. - babu zake Goldwyn walikuwa vigogo wa filamu ambaye ni Samuel Goldwyn na mwigizaji filamu wa kike Bi. Frances Howard,[1] wakati wazee wa babu yake waliwa watunzi wa tamthilia Sidney Howard na mwigizaji wa kike Clare Eames. Goldwyn alihitimua elimu yake ya juu katika chuo cha Hamilton College cha mjini Clinton, New York, Chuo Kikuu cha Brandeis huko mjini Waltham, Massachusetts (ambamo alipata shahada moja ya sanaa ya uchoraji), na baadaye London Academy of Music and Dramatic Art. Goldwyn amemwoa msanifu utayarishaji Jane Musky. Wawili hao wana mabinti wawili, Anna na Tess.

[hariri] Marejeo

[hariri] Viungo vya Nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine