Timothy Castagne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Timothy Castagne

Timothy Castagne (amezaliwa 5 Desemba 1995) ni mchezaji wa soka wa timu ya taifa ya Ubelgiji ambaye kwa sasa anacheza katika klabu ya Atalanta ya Italia.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Timothy Castagne kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.