Nenda kwa yaliyomo

Thibaut Courtois

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thibaut Courtois (2018)

Thibaut Nicolas Marc Courtois (kwa Kiholanzi: [tiˈboː kuːrˈtʋaː]; kwa Kifaransa: [tibo kuʁtwa]; alizaliwa Mei, 1992, ni mchezaji wa mpira wa miguu anayecheza nafasi ya golikipa katika klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Ubelgiji.

Courtois alikuzwa na Genk, alipokuwa na miaka 18, alicheza mechi za kirafiki kabla ya ligi kuu kuanza. Julai, 2011 alijiunga na Chelsea kwa bei ya £8 milioni,na baadaye akaenda Atletico Madrid kwa mkopo .Kwa misimu mitatu alifanikiwa kuchukua mataji ya Europa League mwaka 2012,Copa del Rey mwaka 2013 na La Liga mwaka 2014.Na alishinda taji la Ricardo Zamora la golikipa bora wa La Liga baada misimu miwili baadaye.Courtois alirejea Chelsea July 2014,na msimu wake wa kwanza aliwasaidia kushinda kombe la ligi na Ligi kuu.

Courtois alikuwa golikipa bora mwenye umri mdogo Oktoba 2011 akiiwakilisha Ubelgiji,na baada ya hapo alianza kucheza kwenye kombe la dunia 2014 na UEFA Euro 2016.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thibaut Courtois kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.