The Walt Disney Company
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The Walt Disney Company (huitwa kwa kifupi: Disney) ni moja kati makapuni makubwa ya burudani na vyombo vya habari duniani. Kampuni ilianzishwa mnamo mwaka wa 1923 na Walt Disney na ndugu yake, Roy Oliver Disney, ikiwa chini ya jina la Disney Brothers Cartoon Studio.[1] Ilikuwa na jina la Walt Disney Productions kuanzia miaka ya 1930 na hadi mwanzoni mwa mwaka wa 1986.
Disney Enterprises Inc. ni kampuni tanzu ya Walt Disney; jina ambalo linapatikana katika bidhaa nyingi zilizopewa haki ya kuuza chini ya jina la Walt Disney.
Yaliyomo |
Matawi [hariri]
Vitengo vikuu vya kampuni ni Studio Entertainment, Vituo vya Maonyesho na Mahoteli, Mitandao ya Habari na Bidhaa za Zilizotayari Kununuliwa.
Tazama pia [hariri]
Marejeo [hariri]
- ↑ Roy Disney, nephew of Walt Disney, dies at 79. Rudishwa juu ya 2009-12-16.
Viungo vya Nje [hariri]
- The Official Site
- Corporate Site
- The Unofficial DisneyWiki
- (Kiingereza) The Walt Disney Company katika Google Finance