Tetemeko la ardhi nchini Chile 2010
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tetemeko la ardhi nchini Chile 2010 lilikuwa tetemeko la ardhi nchini Chile. Ilijiri 27 Februari 2010. Angalau watu 800 walikufa.
Marejeo [hariri]
| Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tetemeko la ardhi nchini Chile 2010 kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |