Tenerife

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Flag

Tenerife ni kisiwa cha Kihispania kwenye funguvisiwa ya Visiwa vya Kanari katika Atlantiki mbele ya mwabao wa Afrika ya Magharibi.

Mji mkuu pia mji mkubwa ni Santa Cruz de Tenerife kwenye kaskazini ya kisiwa.

Uchumi wa Tenerife kama funguvisiwa yote ni hasa utalii. Kwenye kusini ya kisiwa kuna kitovu cha utalii kwenye sehemu za Las Teresitas na Los Cristianos.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Kisiwa kina kipenyo cha 2.034 km². Idadi ya wakazi ni mnamo 899.833.

Tenerife ipo kati ya visiwa vya jirani vya Gran Canaria na La Gomera kwenye 28° 0' N na 15° 35' W.

Mahali pa juu ni volkeno ya Teide yenye kimo cha 3,718 m juu ya UB.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tenerife kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.