Teagan Micah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Micah mnamo 2019

Teagan Jade Micah (alizaliwa 20 Oktoba 1997)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Australia ambaye anacheza kama kipa wa klabu ya Liverpool ya Ligi Kuu ya Wanawake (WSL)[3] na timu ya taifa ya Australia.[4][5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Norges Fotballforbund. "Teagan Jade Micah - Profil". fotball.no - Norges Fotballforbund (kwa Norwegian). Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
  2. "Teagan Micah | Matildas". www.matildas.com.au (kwa Kiingereza). 2017-07-31. Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
  3. "Liverpool FC Women complete signing of goalkeeper Teagan Micah - Liverpool FC". www.liverpoolfc.com (kwa Kiingereza). 2023-07-17. Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
  4. "Meet the FIFA Women’s World Cup Squad: The Goalkeepers | Matildas". www.matildas.com.au (kwa Kiingereza). 2023-07-03. Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
  5. "Australian Olympic Team for Tokyo 2021". The Roar (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Teagan Micah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.