Taylor Hinds

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hinds akiichezea Liverpool mnamo 2022

Taylor Jasmine Hinds (alizaliwa 25 Aprili 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambaye anacheza kama beki wa pembeni au kiungo wa klabu ya Liverpool ya Ligi Kuu ya Wanawake (WSL), ambapo yeye ni makamu-nahodha [2]. Ameiwakilisha Uingereza katika mashindano ya wenye umri chini ya miaka 17, 19 na chini ya miaka 23.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Wayback Machine". web.archive.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-11-04. Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
  2. "From one Taylor to another: England's European goal hero inspiration for football starlet". Ealing Times (kwa Kiingereza). 2017-10-10. Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
  3. https://www.thefa.com/news/2018/aug/24/world-cup-england-france-bronze-medal-240818
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Taylor Hinds kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.