Tabea Waßmuth

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tatea Waßmuth

Tatea Waßmuth (alizaliwa 25 Agosti 1996)ni mchezaji wa mpira wa miguu ambae anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya wanawake ya VfL Wolfsburg kwenye ligi ya Frauen-Bundesliga nchini Ujerumani na timu ya taifa ya wanawake nchini Ujerumani.[1][2]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. , WorldFootball.net
  2. "Women EURO Qualifiers 2019/2020 » Group I » Montenegro – Germany 0:3". WorldFootball.net. 22 September 2020. Iliwekwa mnamo 22 September 2020.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tabea Waßmuth kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.