Stéphanie Frappart

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Stéphanie Frappart mnamo 2017

Stéphanie Frappart (alizaliwa 14 Disemba 1983) ni mwamuzi wa mpira wa miguu wa Ufaransa. Amekuwa kwenye orodha ya waamuzi wa kimataifa wa FIFA tangu 2009. [1]

Alikua mwanamke wa kwanza kuwa mwamuzi wa mechi za mashindano ya wanaume ya ligi ya Uropa na mechi ya Ligue 1 ya Ufaransa mwaka 2019, pia alikua mwanamke wa kwanza kuchezesha mechi za michuano ya UEFA Champions League mnamo 2020. [2]

Mnamo 2021, Frappart alikua mwanamke wa kwanza kuchezesha mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA la wanaume. [3] Mnamo 2022, alikuwa mmoja wa waamuzi watatu wanawake waliochaguliwa kuchezesha michuano ya Kombe la Dunia la FIFA 2022 la wanaume. [4] [5] [6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. FIFA.com. "Football Development - Refereeing - Mission and Goals". FIFA.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 May 2015. Iliwekwa mnamo 4 July 2019.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Frappart prva sutkinja u povijesti Lige prvaka". sport.hrt.hr. Iliwekwa mnamo 25 December 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Frappart becomes first woman EVER to referee World Cup qualifier". MSN. 
  4. MacInnes, Paul (19 May 2022). "Female referees to officiate at men's World Cup for the first time". The Guardian (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 19 May 2022.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  5. "Referee Frappart makes history as first woman to referee men's World Cup game". www.fifa.com. 1 December 2022.  Check date values in: |date= (help)
  6. Issy Ronald (1 December 2022). "Stéphanie Frappart to make history as the first woman to referee a men’s World Cup match". CNN.  Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stéphanie Frappart kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.