Sofia Rotaru
Mandhari
Sofia Mihailovna Evdokimenko-Rotaru (amezaliwa tar. 7 Agosti 1947) ni mtunzi wa nyimbo, mwimbaji, mchezaji, mwanamuziki, mtayarishaji wa muziki, mtayarishaji wa filamu, mfanya biashara na mtunzi wa vitabu wa Kirusi-Kiukraine. Anafahamika zaidi kwa jina la Sofia Rotaru. Sofia amewahi kutoa albamu kadhaa zilizoweza kumfanya kuwa maarufu. Albamu hizo ni kama vile Ballade About Violins, Lavender (Lavanda), na I Still Love You.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kirusi) Official site
- Fortuna official fan club
- You Are My Heart official fan club
- Sofia Rotaru katika Discogs
- Sofia Rotaru discography katika MusicBrainz
- Sofia Rotaru katika MySpace
- Sofia Rotaru kwenye Internet Movie Database
- All the news about Sofia Rotaru in Russian
- All Sofia Rotaru Lyrics
- Hundreds of Sofia Rotaru Lyrics
- Sofia Rotaru Became the Leader of the 100 Most Popular Performers (2004)
- Russians Like The Most Singer Sofia Rotaru (2005) Ilihifadhiwa 15 Julai 2011 kwenye Wayback Machine.
- Russia's most popular singer (2006)Ilihifadhiwa 26 Agosti 2011 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sofia Rotaru kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |