Simon Rieber

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Simon Cosmas Michael (anayejulikana zaidi kama Simon Rieber[1], amezaliwa 25 Mei 1994) ni mchoraji katuni, mwongozaji, mtayarishaji na mwandishi wa miswada ya filamu kutoka Tanzania.

Yeye ni mshindi wa tuzo ya Umoja Prize for Contemporary Tanzanian Artist mwaka 2020. Amefanya maonyesho kadhaa nchini Tanzania na Afrika Mashariki, akijijengea nafasi nzuri kama msanii anayechipukia wa kitanzania katika ulingo wa sanaa ya Afrika Mashariki[2][3][4].

Kazi zake[hariri | hariri chanzo]

  • 2018: Working for the Time, Seoul Museum of Art, Seoul, South Korea[1]
  • 2019: UFO Gallery, Barkeley, California[1]
  • 2019: Jessica Silverman Gallery, San Francisco[1]
  • 2021: Project 30: Look At Me, Garage Museum of Contemporary Art, Moscow[1]

Vitabu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Jina Mchapaji ISBN
2021 How To Draw With Mouse (Using Adobe Illustrator) Pencil Publishers ISBN 978-93-54584-41-1
2023 Beautiful Monster[5] Publishdrive ISBN 97-9-83737-52-56-5
2023 In Love with Ghost Publishdrive ISBN 979-83-73854-98-6
2023 I Will Never Forget you[6] Publishdrive ISBN 979-83-73655-82-8
2023 I Will Never Forget you (Vol 2) Publishdrive ISBN 979-83-73750-41-7
2023 Linda; She is not my wife Pencil Publishers ISBN 979-83-73527-43-9
2023 Drawings for Modeling Methods Pencil Publishers ISBN 979-83-72952-06-5
2023 Safari ya Irene[7] Prime Publishers ISBN 979-83-75360-20-1

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Filamu Wadhifa
2023 Holy[8] Mwigizaji na Mwongozaji
2022 Tembele[9] Mwandishi
2020 Nyara:The Kidnapping Mwandishi Muswada
2015 Planetary[10] Mwongozaji
2023 What History Says Whith Simon Rieber Mtayarishaji, Mwongozaji
2013 Hue: A Matter of Colour Mwandishi
2014 The Boy from Geita[11] Mwandishi

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 2020: Simon alishinda tuzo ya Umoja Prize for Contemporary Tanzanian Artist kama mchoraji bora wa mwaka.[12][13]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 "Simon Cosmas Michael (Simon Rieber)". Africultures (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-04-18. 
  2. "Simon Rieber a man who gets his fame in digital illustration". Hitmes (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-30. Iliwekwa mnamo 2021-12-31. 
  3. "Leave it to Rieber: Simon says art is the way". Kulturehub (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-03-05. Iliwekwa mnamo 2021-02-25. 
  4. "SIMON RIEBER AND ADOBE ILLUSTRATOR". Menafn News (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-06-08. 
  5. "Beautiful Monster| WorldCat.org". www.worldcat.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023. 
  6. "I Will Never Forget You| WorldCat.org". www.worldcat.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023. 
  7. Rieber, Simon (2023). Safari ya Irene (kwa Kiswahili). Prime Publishers. Google Books. ISBN 979-83-75360-20-1. 
  8. "Holy (2023) film review". The A.V Club (kwa Kiingereza). 2023. 
  9. "Tembele Movie Guide". Radio Times (kwa Kiingereza). 2022. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-05-12. Iliwekwa mnamo 2023-06-09. 
  10. "Simon Rieber (Director)". Cinafilm (kwa Kiingereza). 2015. 
  11. "The Boy From Geita". Plex TV (kwa Kiingereza). 2014. 
  12. "Meet artist Simon Rieber winner of 2020 Umoja Prize for Contemporary Tanzanian Art". Africa in News (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-31. Iliwekwa mnamo 2022-08-14. 
  13. "UMOJA embraces the belief that collaboration brings innovation, cultural understanding and uplifts the creative economy". European spaces of culture (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-10-01. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Simon Rieber kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.