Shoko Uemura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shoko Uemura (alizaliwa 17 Agosti 1993) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae alichezea kama mshambuliaji wa klabu ya Urawa reds inayoshiriki ligi ya wanawake ya WE League .[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shoko Uemura kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.