Shirikisho la Soka Kenya
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shirikisho la Soka Kenya (au Shirikisho la Mpira wa Miguu Kenya) (kwa Kiingereza: Football Kenya Federation au kifupi FKF) ni shirikisho la Timu ya Taifa ya Kandanda ya Kenya.
Ligi Kuu [hariri]
Orodha ya timu za Kenyan Premier League (ligi kuu):[1]
- Thika United
- Sofapaka
- Western Stima
- Nairobi City Stars
- Mathare United
- Tusker
- Sher Agencies
- Agro-Chemical
- Ulinzi Stars
- Gor Mahia
- Bandari
- KCB
- SoNy Sugar
- Red Berets
- Chemelil Sugar
- AFC Leopards
Marejeo [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shirikisho la Soka Kenya kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |