Timu ya kitaifa ya soka ya Kenya, iitwayo Harambee Stars , ni timu ya taifa ya Kenya na imedhibitiwa na Shirikisho la Soka la Kenya. Wao hawajawahi kuhitimu kucheza katika Kombe la Dunia.
Kenya imetokea katika mashindano matano ya Kombe la Mataifa ya Africa, na haijawahi kamwe kufika raundi ya pili. Timu iliingia katika majaribio ya kufuzu katika kome la dunia la FIFA mwaka 1974. Kufikia mwaka 2006, bado hawajahitimu michuano ya fainali.
[hariri] Ahirisho la FIFA mwaka 2004
FIFA iliahirisha Kenya kutoka shughuli zote za soka kwa miezi mitatu mwaka 2004, kutokana na kuingiliwa na serikali katika shughuli za soka. Marufuku mara yaliachwa baada ya nchi kuukubali kuunda sheria mpya.[2]
[hariri] Kupigwa marufuku ya kitaifa na FIFA mwaka 2006
Oktoba 25, 2006, Kenya iliahirishwa tena kutoka soka ya kimataifa kwa kushindwa kutimiza mkataba wa Januari 2006 uliobuniwa kutatua matatizo yasioisha katika Shirikisho lao la Soka yao. FIFA ilitangaza kuwa ahirisho hilo lingetimizwa hadi shirikisho lirejee kwenye mikataba ya iliyofikiwa awali.[2][3]
[hariri] Wachezaji Maarufu
[hariri] Mafanikio ya soka Kenya
- Kombe la CECAFA:
-
[hariri] kumbukumbu la kombe la dunia
[hariri] Rekodi ya Kombe la Mataifa ya Afrika
| valign = "top" |
|
|
valign = "top" |
|
[hariri] Kikosi cha Sasa
Timu Africa: Wachezaji wafuatao waliitwa kwa majaribio ya kufuza katika Kombe la Dunia la FIFA 2010 dhidi ya Tunisia tarehe 28 Machi, 2009.
TP Mazembe ya Lubumbashi Congo-Zaire ilifika kwa finale na Inter Milan Italia mwaka 2010.
[hariri] Mareshi ya Hivi Majuzi
[hariri] Angalia Pia
[hariri] Viungo vya nje
- Habari
- Kenya Footie-tovuti ya Kandanda Kenya
- ↑ Kenya International Matches. Kenya International Matches. RSSSF (1 February 2000). Rudishwa juu ya 2007-04-10.
- ↑ 2.0 2.1 [1] ^ FIFA yaahirisha Kenya - news.bbc.co.uk - BBC michezo, BBC, Oktoba 25, 2006.
- ↑ [3] ^ FIFA yaahirisha Kenya kwa muda usiojulikana - allAfrica.com - The East African Standard (Nairobi), Oktoba 25, 2006.