Shirikisho la Soka Kenya
Mandhari
Shirikisho la Soka Kenya (au Shirikisho la Mpira wa Miguu Kenya) (kwa Kiingereza: Football Kenya Federation au kifupi FKF) ni shirikisho la Timu ya Taifa ya Kandanda ya Kenya.
Ligi Kuu
[hariri | hariri chanzo]Orodha ya timu za Kenyan Premier League (ligi kuu):[1]
- Thika United
- Sofapaka
- Western Stima
- Nairobi City Stars
- Mathare United
- Tusker
- Sher Agencies
- Agro-Chemical
- Ulinzi Stars
- Gor Mahia
- Bandari
- KCB
- SoNy Sugar
- Red Berets
- Chemelil Sugar
- AFC Leopards
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ ["African Soccer Union African Soccer Union, Kenya (Kiingereza)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-08-19. Iliwekwa mnamo 2009-08-25. African Soccer Union African Soccer Union, Kenya (Kiingereza)]
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 28 Februari 2009 kwenye Wayback Machine.
- Tovuti katika African Soccer Union Ilihifadhiwa 19 Agosti 2009 kwenye Wayback Machine.
- Kenya katika FIFA.com Ilihifadhiwa 5 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- Kenya katika CAF Online
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Shirikisho la Soka Kenya kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |