Shanice van de Sanden

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shanice van de Sanden

Shanice Janice van de Sanden RON (alizaliwa Oktoba 2, 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu ambae anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya wanawake ya VfL Wolfsburg kwenye ligi ya Frauen-Bundesliga nchini Ujerumani na timu ya taifa ya wanawake nchini Uholanzi. [1]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shanice van de Sanden kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.