Setifis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mabaki ya Kirumi katika Sétifis.
Mahali pa Sétifis katika ramani ya Algeria kama ambavyo inaonekana kwa majiranukta 36°11′00″N 5°24′00″E / 36.183333°N 5.4°E / 36.183333; 5.4

Sétifis ulikuwa mji wa Dola la Roma, kaskazini mashariki mwa Algeria ya leo. Ulikuwa mji mkuu wa mkoa uliokuwa unaitwa Mauretania Sitifensis, kwa sasa unatambulika kama Setif kwenye mkoa wa Sétif, Algeria.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Setifis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.