Scebatiana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Utawala wa Dola la Rumi kaskazini mwa Afrika (125 AD)

Scebatiana ulikukwa mji wa Kirumi katika jimbo la Byzacena katika enzi za Dola la Roma na zama za kale. Mahali sahihi ulipokuwapo mji huo hapajulikani,[1] lakini inadhaniwa kuwa ni sehemu fulani kaskazini mwa Tunisia.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Scebatiana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.