Nenda kwa yaliyomo

Sandra A. Mushi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Sandra A. Mushi
Alizaliwa 28 Februari 1974
Nchi Tanzania
Kazi yake Msanifu

Sandra Aikaruwa Mushi (alizaliwa 28 Februari 1974) ni mwanamke Mtanzania ambaye ni msanifu wa mambo ya ndani ya majengo na mwanzilishi wa kampuni ya Creative Studios Limited mjini Dar es Salaam, Tanzania.[1].

Pia ni mwanachama wa International Interior Design Association na The African Institue Of Interior Design Professions[2] na mwandishi wa hadithi[3][4] na mashairi[5] yanayolenga matatizo na changamoto wanazopata wanawake na watoto.

Hadithi zake

[hariri | hariri chanzo]
  1. A Choice
  2. A Leaking Roof
  3. Bride Price
  4. Family Business
  5. Her Eyes
  6. Her Mother
  7. Imbeciles
  8. Jasmine
  9. Kokushiba
  10. Lunch
  11. Miscounted Dreams
  12. Oil On Water
  13. Shattered Dreams[6]
  14. Stupid Women
  15. Stains on My Khanga (Mkusanyiko wa hadithi fupi), Hadithi Media, Centurion (Gauteng, South Africa) 2014, ISBN13 9780620584753[7]
  1. http://www.sheroes.co.tz/sheroes.html Ilihifadhiwa 8 Machi 2019 kwenye Wayback Machine. iliangaliwa tar 7 March 2019
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-11-05. Iliwekwa mnamo 2018-09-24.
  3. http://www.authorsden.com/visit/viewshortstories_all.asp?Authorid=28003&order=title&page=1
  4. Author - Sandra A. Mushi kwenye tovuti ya www.africanwriter.com, iliangaliwa Septemba 2018
  5. http://badilishapoetry.com/sandra-a-mushi/
  6. Shattered Dreams: Fiction by Sandra A. Mushi, kwenye tovuti ya www.africanwriter.com, iliangaliwa Septemba 2018
  7. Stains on My Khanga, kwenye tovuti ya goodreads.com, iliangaliwa septemba 2018
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sandra A. Mushi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.