Sanamu ya Samora Machel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sanamu ya Samora Machel (kwa Kireno: A Estátua de Samora Machel) ni sanamu ya shaba iliyoko katikati ya Praça da Independência huko Maputo, Msumbiji. Sanamu hiyo inamuonyesha Samora Machel (1933-1986), mwanajeshi, mwanamapinduzi na Rais wa kwanza wa Msumbiji.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]