Salum Kanoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Salum Kanoni
Maelezo binafsi
Jina kamili Salum Kupela Kanoni
Tarehe ya kuzaliwa 30 Novemba 2023
Mahala pa kuzaliwa    Kigoma, Tanzania
Urefu 1.66 m
Nafasi anayochezea Beki
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya Tanzania

* Magoli alioshinda

Salum Kanoni (alizaliwa 30 Novemba 1988) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Tanzania ambaye anacheza kama beki katika timu ya Mtibwa Sugar.[1]

Kanomi ameshawahi kuchezea vilabu mbalimbali nchini Tanzania, kama vile Simba SC, Kagera Sugar na Mwadui United kabla ya kujiunga na klabu ya Mtibwa Sugar mnamo mwaka 2017.[2]

Pia ameshiriki mechi mbalimbali za kimataifa katika Timu ya Taifa ya Tanzania, ikiwa ni pamoja na mechi ya kirafiki Tanzania na Brazili mnamo mwaka 2010.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. [1] at National-Football-Teams.com
  2. Benjamin Strack-Zimmermann. "Salum Kanoni (Player)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-15. 
  3. Benjamin Strack-Zimmermann. "Tanzania vs. Brazil". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-15. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salum Kanoni kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.