Salim Alaudin Hasham

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Salim Alaudin Hasham (amezaliwa tarehe 4 Aprili 1984) ni mwanasiasa mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi (CCM) tangu mwaka 2008. Amechaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Ulanga kwa miaka 20202025. [1] Mnamo mwaka 2021 mpaka 2023 alikua ni mwanachama wa kamati ya nishati na madini nchini Tanzania

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Orodha la wabunge wa Tanzania, iliangaliwa Aprili 2022