Saidi Juma Nkumba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Said Juma Nkumba)
Saidi Juma Nkumba (amezaliwa tar. - ) ni mbunge wa jimbo la Sikonge katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia [hariri]
Marejeo [hariri]
- ↑ Mengi kuhusu Saidi Juma Nkumba (25 Aprili 2006). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.
| Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |