Saidi Juma Nkumba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Saidi Juma Nkumba (amezaliwa 17 Aprili, 1962) ni mbunge wa jimbo la Sikonge katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Saidi Juma Nkumba". 25 Aprili 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-27. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.