Rosenborg Ballklub
Mandhari
|
Rosenborg Ballklub (kifupisho: RBK) ni klabu ya kandanda kutoka mji wa Trondheim, Norwei. Inacheza katika Ligi Kuu ya Norwei. Klabu iliundwa mwaka 1917.
Lerkendal Stadion
[hariri | hariri chanzo]Lerkendal ni Uwanja wa mpira wa miguu huko Trondheim, Norwei. Ni uwanja wa nyumbani kwa Rosenborg BK. Unapokea watazamaji 21,116, na hivi ni wa pili kwa ukubwa nchini humo.
Tuzo
[hariri | hariri chanzo]- Ligi Kuu ya Norwei:
- Washindi (26): 1967, 1969, 1971, 1985, 1988, 1990, 1992, 1993, 1994, 1995, 1996, 1997, 1998, 1999, 2000, 2001, 2002, 2003, 2004, 2006, 2009, 2010, 2015, 2016, 2017, 2018
- Wa pili (5): 1968, 1970, 1973, 1989, 1991
- Kombe la soka la Norwei:
- Washindi (12): 1960, 1964, 1971, 1988, 1990, 1992, 1995, 1999, 2003, 2015, 2016, 2018
- wa pili (5): 1967, 1972, 1973, 1991, 1998
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Rosenborg Ballklub kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Official Website (rbk.no)
- Official facebook