Roger Federer
Mandhari
Roger Federer | |
---|---|
| |
Alizaliwa | 8 Agosti 1981 Uswisi |
Kazi yake | sport - tenisi |
Roger Federer (8 Agosti 1981, Basel; tamka: rod-jer fe-de-rer) ni mchezaji tenisi kutoka Uswisi. Federer alishinda mashindano 17 ya grand slam akaongoza mara nne orodha ya wachezaji bora duniani. Federer anatazamiwa na wabingwa wa tenisi kuwa kati ya wachezi bora kabisa katika historia ya michezo hii..[1]
Grand Slam
[hariri | hariri chanzo]- Australia open: Mshindi 2004, 2006, 2007, 2010.
- Ufaransa open: Mshindi 2009.
- Wimbledon: Mshindi 2003, 2004, 2005 ,2006, 2007, 2009, 2012.
- Marekani open: Mshindi 2004, 2005 ,2006, 2007, 2008.
Picha nyumba ya sanaa
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ ATP World Rankings 2 Desemba 2012.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 6 Juni 2012 kwenye Wayback Machine.
- Profile at ATP
- Profile at ITF
- Profile at Davis Cup
Wikimedia Commons ina media kuhusu: