Rina Funaki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rina Funaki (alizaliwa 10 Mei 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya wanawake ya MyNavi Sendai inayoshiriki ligi ya WE League .[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Rina Funaki". Rina Funaki。. 
  2. "Scoresheet". weleague.jp. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rina Funaki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.