Rahma Ghars

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rahma Ghars (2018).

Rahma Ghars (alizaliwa 4 Novemba 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Anacheza kama beki wa Klabu ya Saham fc pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia.[1] [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Oyuncular – Futbolcular: Rahma Ghars" (kwa Kituruki). Türkiye Futbol Federasyonu. Iliwekwa mnamo 6 November 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Maelezo ya Timu - mchezaji: Rahma Ghars". CAF 10th Afrika Wanawake Kombe la Mataifa ya kufuzu, Kamerun 2016. Iliwekwa mnamo 6 November 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rahma Ghars kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.