Peggy Phango

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Peggy Phango
Amezaliwa 28 Desemba 1928
Afrika Kusini
Amekufa 7 August 1998
Watoto Two daughters


Peggy Phango Amezaliwa mnamo (28 Desemba 1928 -Agosti 1998) Alikua mwigizaji na mwimbaji wa Afrika Kusini, ambaye tangu miaka ya 1960 alikuwa na makao yake nchini Uingereza

Maisha ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Peggy Phango alizaliwa Orlando, Transvaal, Afrika Kusini. Alipata mafunzo kama muuguzi,lakini pia aliimba katika vilabu vya jazz,kama mwanamke mchanga. [1][2]

Maisha Binafsi[hariri | hariri chanzo]

Peggy Phango alioana na mpiga piano Johnny Parker mwaka 1965 kama mke wa pili na walijaaliwa kupata watoto wawili wa kike ambao ni Abigail na Beverly. Phango alifariki katika mji wa London mwaka 1998akiwa na umri wa miaka 69[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tom Vallance, "Obituary: Peggy Phango" The Independent (2 September 1998).
  2. Michael Knipe, "From Tradesman's Daughter to Stage Queen" Mail & Guardian (21 August 1998).
  3. Peter Vacher, "Johnny Parker Obituary", The Guardian (21 June 2010).
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peggy Phango kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.