Pamela Kola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pamela Kola alikuwa mwandishi wa Kenya ambaye anajulikana zaidi kwa vitabu vya watoto kuhusu hadithi za Afrika mashariki na hekaya.

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Amezaliwa nchini Kenya, alisoma chuo kikuu cha Leeds, alihitimu shahada ya Elimu. Kola alianzisha kitalu jijini Nairobi. Akishirikiana na Jumba la Uchapishaji la Afrika Mashariki mwaka 1960 kutengeneza vitabu vya watoto.

Kazi zake[hariri | hariri chanzo]

  • East African How Stories (1966)[1]
  • East African Why Stories (1966)
  • East African When Stories (1968)
  • The Cunning Tortoise
  • The Wise Little Girl

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "African Books Collective: East African How Stories". www.africanbookscollective.com. Iliwekwa mnamo 2022-08-14. 
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pamela Kola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.