Orodha ya Vyuo Vikuu vya Norwei
Mandhari
(Elekezwa kutoka Orodha ya vyuo vikuu Norwe)
Hii ni orodha ya Vyuo vikuu katika nchi ya Norwei kwa sasa na inaeleza mahali vinapopatikana, ufupisho wa majina na miaka ya uasisi. Vyuo Vikuu vyote vya Norwei ni vya umma. Hamna vyuo vya binafsi kama ilivyo sehemu nyingine za Uropa.
Vyuo Vikuu
[hariri | hariri chanzo]- Chuo Kikuu cha Oslo (UiO) (Oslo) (Chuo Kikuu cha kwanza nchini) (Kiliasisiwa mnamo. 1811)
- Chuo Kikuu cha Bergen (UiB) (Bergen) (Kiliasisiwa mnamo 1948)
- Chuo Kikuu cha Tromsø (UiT) (Tromsø) (Chuo Kikuu kilimo katika eneo la kaskazini kabisa ulimwenguni) (Kiliasisiwa mnamo 1972)
- Kinorwe Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia (NTNU) (Trondheim) (estb. 1996; koncentrationen ya Norwegian Institute of Technology (NTH), estb. 1910 na Chuo Kikuu cha Trondheim, estb.• Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Norwe (Trondheim) (Kiliasisiwa 1996; Kiliunganishwa na Taasisi ya Teknolojia ya Norwe (NTH), iliyoasisiwa mnamo 1910 na Chuo kikuu cha Trondheim, kilichoasisiwa mnamo 1968)
- Chuo Kikuu cha Sayansi ya Uhai cha Norwe (UMB) (Ås) (Kiliasisiwa 1859, Kikawa Chuo Kikuu kuanzia mwaka wa 2005; awali kilikuwa Chuo cha Kilimo cha Ås)
- Chuo Kikuu cha Stavanger (UiS) (Stavanger) (Kilisisiwa mnamo 2005; awali kilijulikana kama Chuo Cha Stavanger)
- Chuo Kikuu cha Agder (UiA) (Kiliasisiwa 2007; awali kilijulikana kama Chuo Cha Agder)
Vyuo Vikuu vya Kitaaluma
[hariri | hariri chanzo]- Chuo cha usanifu Majengo na Usanifu wa Michoro Oslo(AHO) (Oslo)
- Chuo cha usanifu Majengo na Usanifu wa Michoro Oslo(AHO) (Oslo)
- Chuo cha Usimamizi cha Norwe (BI) (Oslo) (private)
- Chuo cha Masomo ya Kiuchumi na Usimamizi wa Biashara cha Norwe (NHH) (Bergen)
- Chuo cha Sayansi ya Spoti cha Norwe (NIH) (Oslo)
- Chuo cha Masomo ya Mifugo cha Norwe (NVH) (Oslo)
- Chuo cha Muziki cha Norwe (NMH) (Oslo)
- Chuo cha Mafunzo ya dini cha MF Norwe (MF) (Oslo) (private)
Vyuo Vishirikishi vilivyoidhinishwa
[hariri | hariri chanzo]- Chuo Kishirikishi cha Aalesund (Ålesund)
- Chuo Kishirikishi cha Akershus (HIAK) (Lillestrøm) (Kiliasisiwa mnamo. 1994)
- Chuo Kishirikishi cha Kitaifa cha Ufudi, Bergen (Bergen)
- Chuo Kishirikishi cha Bergen (Bergen)
- Chuo Kishirikishi cha Bodø Bodø)
- Chuo Kishirikishi cha Buskerud (Kongsberg)
- Chuo Kishirikishi cha Diakonhjemmet (Oslo)
- Chuo Kishirikishi cha Finnmark (Alta)
- Chuo Kishirikishi cha Gjøvik (Gjøvik)
- Chuo Kishirikishi cha Harstad (Harstad)
- Chuo Kishirikishi cha Hedmark (Elverum, Hamar, Åmot, Stor-Elvdal)
- Chuo Kishirikishi cha Lillehammer (Lillehammer)
- Chuo Kishirikishi cha Molde (Molde)
- Chuo Kishirikishi cha Narvik(Narvik)
- Chuo Kishirikishi cha Nesna (Nesna)
- Chuo Kishirikishi cha Nord-Trøndelag HiNT) (Steinkjer)
- Chuo cha Jeshi la Anga Norwe (Trondheim)
- Chuo cha Ulinzi cha uhandisi, Norwe (Lillehammer)
- Chuo cha Jeshi cha Norwe (Oslo)
- Chuo cha Jeshi la wanamaji Norwe (Bergen)
- Chuo Kishirikishi cha Polisi cha Norwe (Oslo)
- Chuo cha Waalimu cha Norwe (Bergen)
- Chuo cha Kitaifa cha Sanaa, Oslo (Oslo)
- Chuo Kishirikishi cha Oslo (Oslo)
- Chuo Kishirikishi cha Kifalme cha Jeshi la anga Norwe (Trondheim)
- Chuo Kishirikishi cha Sámi (Guovdageaidnu)
- Chuo Kishirikishi cha Sogn og Fjordane (Sogndal)
- Chuo Kishirikishi cha Stord/Haugesund (Stord)
- Chuo Kishirikishi cha Sør-Trøndelag (Trondheim)
- Chuo Kishirikishi cha Telemark(Porsgrunn)
- Chuo Kishirikishi cha Vestfold (Tønsberg)
- Chuo Kishirikishi cha Volda(Volda)
- Chuo Kishirikishi cha Østfold (Halden)
Vyuo Vishirikishi vya Kibinafsi vyenye mitaala iliyoidhinishwa
[hariri | hariri chanzo]- Chuo cha Mafunzo ya Dini na Umishonari cha Ansgar (Kristiansand)
- Arkivakademiet (Oslo)
- Atlantis medisinske høgskole (Oslo)
- Baptistenes Teologiske Seminar (Stabekk)
- Taasisi ya musiki ya Barratt Due (Oslo)
- Chuo Kishirikishi cha Bergen Deaconess (Bergen)
- Chuo cha Mafunzo ya Usanifu Majengo cha Bergen (Bergen)
- Betanien Deaconal University College (Bergen)
- Chuo cha Bjørknes (Oslo)
- Chuo cha Kristiania (Oslo)
- Den norske balletthøyskole (Oslo)
- Chuo cha Norwe cha Eurythmy (Oslo)
Vyeo Vya Vyuo Kimataifa
[hariri | hariri chanzo](Kulingana na QS Vyeo vya vyuo vikuu duniani):
Chuo Kikuu | 2004 | 2005 | 2006 | 2007 | 2008 | 2009 |
---|---|---|---|---|---|---|
Chuo Kikuu cha Oslo(Universitetet i Oslo) | 101 | 138 | 177 | 188 | 177 | 101 |
Chuo Kikuu cha Bergen (Universitetet i Bergen) | - | - | - | - | - | 144 |
NR = hakuna uorodheshaji baada ya 200 bora.