Hii ni orodha ya Vyuo vikuu katika nchi ya Norwei kwa sasa na inaeleza mahali vinapopatikana, ufupisho wa majina na miaka ya uasisi. Vyuo Vikuu vyote vya Norwei ni vya umma. Hamna Vyuo vya kibinafsi kama ilivyo Uropa.
Vyuo Vikuu [hariri]
- Chuo Kikuu cha Oslo (UiO) (Oslo) (Chuo Kikuu cha kwanza nchini) (Kiliasisiwa mnamo. 1811)
- Chuo Kikuu cha Bergen (UiB) (Bergen) (Kiliasisiwa mnamo 1948)
- Chuo Kikuu cha Tromsø (UiT) (Tromsø) (Chuo Kikuu kilimo katika eneo la kaskazini kabisa ulimwenguni) (Kiliasisiwa mnamo 1972)
- Kinorwe Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia (NTNU) (Trondheim) (estb. 1996; koncentrationen ya Norwegian Institute of Technology (NTH), estb. 1910 na Chuo Kikuu cha Trondheim, estb.• Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Norwe (Trondheim) (Kiliasisiwa 1996; Kiliunganishwa na Taasisi ya Teknolojia ya Norwe (NTH), iliyoasisiwa mnamo 1910 na Chuo kikuu cha Trondheim, kilichoasisiwa mnamo 1968)
- Chuo Kikuu cha Sayansi ya Uhai cha Norwe (UMB) (Ås) (Kiliasisiwa 1859, Kikawa Chuo Kikuu kuanzia mwaka wa 2005; awali kilikuwa Chuo cha Kilimo cha Ås)
- Chuo Kikuu cha Stavanger (UiS) (Stavanger) (Kilisisiwa mnamo 2005; awali kilijulikana kama Chuo Cha Stavanger)
- Chuo Kikuu cha Agder (UiA) (Kiliasisiwa 2007; awali kilijulikana kama Chuo Cha Agder)
Vyuo Vikuu vya Kitaaluma [hariri]
- Chuo cha usanifu Majengo na Usanifu wa Michoro Oslo(AHO) (Oslo)
- Chuo cha usanifu Majengo na Usanifu wa Michoro Oslo(AHO) (Oslo)
- Chuo cha Usimamizi cha Norwe (BI) (Oslo) (private)
- Chuo cha Masomo ya Kiuchumi na Usimamizi wa Biashara cha Norwe (NHH) (Bergen)
- Chuo cha Sayansi ya Spoti cha Norwe (NIH) (Oslo)
- Chuo cha Masomo ya Mifugo cha Norwe (NVH) (Oslo)
- Chuo cha Muziki cha Norwe (NMH) (Oslo)
- Chuo cha Mafunzo ya dini cha MF Norwe (MF) (Oslo) (private)
Vyuo Vishirikishi vilivyoidhinishwa [hariri]
Vyuo Vishirikishi vya Kibinafsi vyenye mitaala iliyoidhinishwa [hariri]
Vyeo Vya Vyuo Kimataifa [hariri]
(Kulingana na QS Vyeo vya vyuo vikuu duniani):
NR = hakuna uorodheshaji baada ya 200 bora.
Pia tazama [hariri]
|
Orodha ya Vyuo Vikuu vya Ulaya
|
|
| Nchi huru |
|
|
| Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa |
|
|
| Maeneo ya Ulaya ya kujitawala chini ya nchi nyingine |
|
|
|
|
|